Kwa zaidi ya wiki sasa wenye maduka madogo vibanda na mamalishe wamekuwa wakikamatwa na kulipishwa fedha kiasi cha elfu 30 gharama za ukamataji wa service levy, tumefikaje huko wakati wa ukataji leseni halmashauri ilikuwa inadai ulipie service levy ndio upewe leseni, wananchi walilipa kwa control namba na hawakupewa resiti kwa madai mtandao unasumbua marazote wakaguzi wakija wamekuwa wakionyeshwa meseji za kulipia control namba.
Sasa baada ya myumbo wa internet wengi wameflash simu na kufuta meseji wakidhani simu zao ndo zina shida kumbe mkongo wa taifa umegegedwa.
Kwa kutambua hilo watendaji wameanza misako wa kukamata mamalishe wauza vibanda wenye viduka vya rejareja na kuwasweka kwenye magari kana kwamba wanakamata wapika gongo.
Ili utoke inakubidi ulipie tena service levy na ulipie gharama za ukamataji gharama ambazo hazina control namba wala risit.
Fikiria watoto walioenda shule wakarudi kusubiri msosi kwa mamayao aliyeenda kuhangaika kumbe kakamatwa na mgambo wa jiji, huyu mama anarudi nyumbani mikono mitupu huku akiwa na deni la jirani aliyekuja kukukomboa atakuchagua kweli?
Safari hii hata wizi wa kura utashindikana kama ilivyokuwa kwa masha. Ikumbukwe watu wa mwanza hawatabiriki wanaweza kukuchenjia muda wowote. Hii biashara ya service levy waambie waachane nayo hii dhulma haitatufikisha popote. Zaidi ya kujengeana uhasama.