kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Naye ameteuliwa na Samia?watanzania tuko milioni 60 passort ngapi katoa hadi sasa?
Nini kinachosababisha vijana wengi mamia wa vijana wa kitanzania kushikwa Afrika ya kusini wakiwa hawana passport na kurudishwa nchini kisa hawana passport?Huyu mama binafsi namkubali sana, ni mtu imara na anajua majukumu yake
Akili kisoda, watanzania kuwa mil 60 haina maana wote tunahitaji passport. Kwenye ukoo wenu Kuna mtu yeyote anahitaji passport?watanzania tuko milioni 60 passort ngapi katoa hadi sasa?
Vipi wale mamia ya vijana ambao hushikwa Afrika ya kusini wakiwa hawana passport na kurudishwa nchini kisa hawana passport na kuishia mahakama kisutu msababishaji wa wao kukosa passport nani? Tuanzie haponinaweza kusema amefanya Jambo kubwa kwenye pasipoti za electronic,
Nilipotaka kwenda AK nilienda uhamiaji na kuomba pass kisha nikalipia na kupata nikapata VISA na kwenda na kurudi wale vijana huwa hawapendi kufata taratibu na baadhi pass zikiisha mda hawaendi HA kurenew nadhani wao wajitafakari.Vipi wale mamia ya vijana ambao hushikwa Afrika ya kusini wakiwa hawana passport na kurudishwa nchini kisa hawana passport na kuishia mahakama kisutu msababishaji wa wao kukosa passport nani? Tuanzie hapo
Uzuri wote waliorudishwa wapo .Wakitapika nyongo zao hapo uhamiaji kitengo cha passport habaki mtu Hata yeye ataponea chupuchupu labda.Nilipotaka kwenda AK nilienda uhamiaji na kuomba pass kisha nikalipia na kupata nikapata VISA na kwenda na kurudi wale vijana huwa hawapendi kufata taratibu na baadhi pass zikiisha mda hawaendi
SijuiNaye ameteuliwa na Samia?
Nini kinachosababisha vijana wengi mamia wa vijana wa kitanzania kushikwa Afrika ya kusini wakiwa hawana passport na kurudishwa nchini kisa hawana passport?
Vipi wale mamia ya vijana ambao hushikwa Afrika ya kusini wakiwa hawana passport na kurudishwa nchini kisa hawana passport na kuishia mahakama kisutu msababishaji wa wao kukosa passport nani? Tuanzie hapo
Uzuri wote waliorudishwa wapo .Wakitapika nyongo zao hapo uhamiaji kitengo cha passport habaki mtu Hata yeye ataponea chupuchupu labda.
Unatoa jibu rahisi kwenye swali gumu
Sio kweli kuna masharti ya kijinga ya kupata passport mtu anaambiwa lete barua ya mwaliko Fursa ina mwaliko ? .Kijana anaambiwa South Afrika kuna fursa anasema ngoja niende nikatizame fursa anaenda kuomba passport unamkomalia lete uthibitisho wa safari akili zimo wewe? nchi zote majirani wanatoa passport kwa raia mradi ana kitambulisho cha taifaPassport kupata ni rahisi sana...
Usela umewazidi .. uhuni wa kizamani
Issue sio muda ni vigezo walivyoweka ni vya kuombea visa ubalozini sio rafiki kwa vijana wengi.Wao wabaki kutoa passport tu maswali ya kijinga a kuuliza unaenda kufanya nini ziachiwe balozi husika zitoazo visaLabda hatuelewi vingine... ila passport miaka hii sio ngumu.
Nashirikiana na mtu wa safari za nje anawaongoza watu kupata pass kwa wiki 1 ama 2 na hakuna ugumu na tip ni elfu 10 tu... sio rushwa..[emoji16]
Mzee unapiga za uso 🤣 🤣 🤣 🤣Akili kisoda, watanzania kuwa mil 60 haina maana wote tunahitaji passport. Kwenye ukoo wenu Kuna mtu yeyote anahitaji passport?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app