GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais Samia katika 'Birthday' yake leo huku ukijua kabia kuwa kuna Mkutano mkubwa Tanzania na Watanzania tungependa kujua mengi yatakonayo na huo Mkutano wa Nishati kuliko Upuuzi wa 'Birthdays' za Uzeeni za Ubabu na Ubibi?
Poti wangu / Mwetu wangu Dkt. Ayoub Ryoba na Mwalimu wangu Siku hizi umekumbwa na nini Kaka? Asali imekunogea?
Poti wangu / Mwetu wangu Dkt. Ayoub Ryoba na Mwalimu wangu Siku hizi umekumbwa na nini Kaka? Asali imekunogea?