GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hauna kazi ya kufanya Nini?Hivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais Samia katika 'Birthday' yake leo huku ukijua kabia kuwa kuna Mkutano mkubwa Tanzania na Watanzania tungependa kujua mengi yatakonayo na huo Mkutano wa Nishati kuliko Upuuzi wa 'Birthdays' za Uzeeni za Ubabu na Ubibi?
Poti wangu / Mwetu wangu Dkt. Ayoub Ryoba na Mwalimu wangu Siku hizi umekumbwa na nini Kaka? Asali imekunogea?
Hahaaaa!Hivi kumbe TBC bado ipo
Lazima ajipigie debe,maana serikali ndio imempa kitoweo!Hahaaaa!
Millardayo anafanya vizuri zaidi kiasi imekuwa ni media ya taifa.Hivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais Samia katika 'Birthday' yake leo huku ukijua kabia kuwa kuna Mkutano mkubwa Tanzania na Watanzania tungependa kujua mengi yatakonayo na huo Mkutano wa Nishati kuliko Upuuzi wa 'Birthdays' za Uzeeni za Ubabu na Ubibi?
Poti wangu / Mwetu wangu Dkt. Ayoub Ryoba na Mwalimu wangu Siku hizi umekumbwa na nini Kaka? Asali imekunogea?
Dunia ya leo ni kwanini imeweka kipaumbele sana mambo ya kusherekea birthday?? Zamani huu upumbavu kulikuwa hamna.Hivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais Samia katika 'Birthday' yake leo huku ukijua kabia kuwa kuna Mkutano mkubwa Tanzania na Watanzania tungependa kujua mengi yatakonayo na huo Mkutano wa Nishati kuliko Upuuzi wa 'Birthdays' za Uzeeni za Ubabu na Ubibi?
Poti wangu / Mwetu wangu Dkt. Ayoub Ryoba na Mwalimu wangu Siku hizi umekumbwa na nini Kaka? Asali imekunogea?
Mwanaume ndo kabisa huwa namuona hajitambui kabisa hata kidogo.Dunia ya leo ni kwanini imeweka kipaumbele sana mambo ya kusherekea birthday?? Zamani huu upumbavu kulikuwa hamna.
Mimi hadi leo hata siku yangu ya birthday huwa siikumbuki, sina nayo time. Na nikimwona mtu anayeipa airtime birthday huwa namdharau sana.
Kabisa.. Mi limwanaume linaloentertain mambo ya birthday huwa naona kabisa ni 'Bwabwa'Mwanaume ndo kabisa huwa namuona hajitambui kabisa hata kidogo.
Kwenye king'amuzi changu nimeiblock, itaniharibia watoto kuwa machawa..Hivi kumbe TBC bado ipo
fanyeni kazi tafuteni hela hayo mnaunmiza roho zenu tu siasa ni sayansiKwenye king'amuzi changu nimeiblock, itaniharibia watoto kuwa machawa..
Kila dk ni watu wanashukuruView attachment 3215654
Unanipangia mambo ya familia yangu?!fanyeni kazi tafuteni hela hayo mnaunmiza roho zenu tu siasa ni sayansi