Dkt. Ayub Rioba astaafu na kuaga TBC baada ya muda wake kuisha

Kabla hajawa DG tbc alikuwa mtu wa hoja ,mchambuzi mzuri aisiyeegemea upande wowote, akiandikia pia gazeti la Rai nguvu ya hoja wakati likiwa chini ya Generali Ulimwengu,sio ile ya Bashe na Rostam. Lakini kweli ile methali ya usiongee wakati wa kula ina ukweli ndani yake. Sasa amemaliza kula karibu tena kilingeni
 
Wengi hawajajipanga, kurudi kunaza moja bila mshahara wa mwisho wa mwezi inakuwa kama shock kwao
Kwa level yake wala hawezi kulia Njaa! Kitakachokosekana ni mamlaka tu lakini mshahara ni kama upo tu mpaka mwisho wa maisha yake!
 
Wastaafu wengi wanaogopa kurudi mtaani,
Karibu uraiani huku.
Huoni hata hotuba yake ya kuaga ilivyojaa uchawa? Ukiisoma vizuri utaona ni mtu anayeomba kukumbukwa na rais na kupewa teuzi tena.

Huyu mtu chini ya uongozi wake, TBC imedhoofika na kumalizikia kabisa. Viongozi machawa hawatakiwi kabisa kwenye taasisi zinazopaswa kuwa huru.
​
 
Ukiona Msomi anaanza insha kwa kuongelea mambo ya kupigwa vita badala ya taaluma ujue ni mpenda vyeo.
 
Jinga sana hilo jamaa Magu alimweka hapo TBC ikawa chombo cha CCM habari zote ni mapambio
Hivi we unajua hata habari ni nini?Unajua huyo jamaa alichokifanya au unakurupuka tu? Hivi unajua ni huyo jamaa ndio alitoa nafasi kwa vyama vyote vya upinzani ikiwemo chadema habari zao kutangazwa TBC.Kitu kama hujui nyamaza
 
Ukiona Msomi anaanza insha kwa kuongelea mambo ya kupigwa vita badala ya taaluma ujue ni mpenda vyeo.
Huyu hapendi vyeo,angekuwa mpenfa vyeo angeenda nje ya nchi kufundisha ambako alipata kazi lakini alichagua kubaki Tanzania
 
Mungu amempa dk rioba kila kitu,isipokuwa kimoja tu.Hana mke,hana mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…