Dkt. Ayub Rioba astaafu na kuaga TBC baada ya muda wake kuisha

CCM ni wanaturudisha nyuma na kutudumaza sana kiakili kama taifa.
 
Hii ni salamu ya kuaga imeawasilishwa na mtu ana PHD.

Hakuna stats za kusema alipoikuta, alipoifikisha wakati anaondoka alikua anaproject nini kije, changamoto alizokutana nazo alizotatua, zilizobaki.

Imekua ni kutoa shukrani na kupiga vijembe.

Juzi nimeona Kigwangala anaomba ajira LinkedIn nikashangaa kwakua kwa level yake yeye siyo wa kuomba ajira ni anatakiwa kuonyesha uwezo taasisi zimfuate. Ayubu hapa ni ameonyesha ugumu wa hawa watu kufuatwa na taasisi kwa hii kwaheri yake alivyoiandika
 
Tofautisha andiko la kuaga ambalo analiandika mtu ama insta,facebook na kwenye mtandao wowote mwingine na andiko lake rasmi la kukabidhi ofisi.Ayubu ni intellectual,sio lumpen.Hayo unayoyataka wewe ayaandike hawezi kuyaandika facebook.Na sio kwamba jamaa hana pa kwenda,huyo jamaa ana ofa zaidi ya 5 kufundisha vyuo vikuu vya Tanzania na nje ya nchi
 
Huwezi kusema nachagua kua miyeyusho facebook ila nitakua intellectual kwenye makaratasi. Hizo ofa zitaona hayo makaratasi lini?

Ana ofa tano za kufundisha. Yaani unakua mkurugenzi wa shirika la kitaifa na best offers unazoweza attract ni kua lecturer? How low can you go from there?

Kwanini mnatumia muda mwingi kupongeza mediocrity?
 
Ni vigumu kukubadili mawazo yako kwakuwa ushaamua,lakini ukweli unaujua kuwa hakuna mtumishinwa kevel ya ayubu ataandika mafanikio yake facebook.Kumbuka ayubu ni mwalimu kwa taaluma na amemrithi kazi hiyo baba yake,hivyo anavyopewa ifa hizo maana yake hivyo vyuo vinatambua umahiri wake.Acha udwanzi wewe,kaa subiri utaona ayubu akipiga hatua na wewe ukibaki hapohapo ulipo na chuki zako.
 
Hebu kaa kushoto kama unachoweza ni kuandika maneno ya jikoni tu
 
 
Ondoka tuu,TBC na Tido muhando baada ya hapo imekua channel ya ovyo sana na uchawa Haina taarifa za maana kabsaa
 
Hebu kaa kushoto kama unachoweza ni kuandika maneno ya jikoni tu
Wewe hayo uliyoandika ni maneno ya chooni ambayo hayana mantiki yoyote ile.Dk Ayubu mimi namfahamu miaka mingi na niliwahi kumpa kazi nikiwa nje ya nchi hii na aliifanya vizuri sana.Wewe usione tunaandika hapa akadhani tuko level moja shubamiti,huna unachoweza kumfikia dk ayubu hata kuwa mfahia choo chake.Acha kuandika kama unajamba
 
Hivi we unajua hata habari ni nini?Unajua huyo jamaa alichokifanya au unakurupuka tu? Hivi unajua ni huyo jamaa ndio alitoa nafasi kwa vyama vyote vya upinzani ikiwemo chadema habari zao kutangazwa TBC.Kitu kama hujui nyamaza
Mmmh habar gan za upinzan zinatangazwa TBC au unachanganya habar ? TBC si habar za katibu mkuu wa ccm na mwenyekiti na uzinduz wa daraja alaf imeisha?
 
Sasa sual ni la dr rioba ya kigwangwalah yanakuja
Mmmh habar gan za upinzan zinatangazwa TBC au unachanganya habar ? TBC si habar za katibu mkuu wa ccm na mwenyekiti na uzinduz wa daraja alaf imeisha?
ok afadhali umeniuliza vizuri na kwa heshima na mimi ntakujibu vizuri kabisa,dr rioba alitoa fursa kwa habari za vyama vya upunzani na zilitangazwa sana tu,fanya utafiti,kama unaweza nenda kwa viongozi wa vyama vya upinzani vyote watakwambia kuwa walipewa fursa na waliongea vizuri na kuna wakati hata baadhi ya watu kutoka serikalini walimchukia sana.Amefanya mageuzi hata katika sheria inayaanzisha tbc kwa sasa ni public broadcasting itakuwa ikipata fedha kutoka mfuko mkuu wa serikali na watajitegemea.Amefanya mengi sana na nakwambia humu kuna wanamshambulia wala hawajui je alilikutaje shirika? na analiachaje.Tufanye utafiti kidogo kabla ya kumpiga vita bilashi.Mimi sio ccm,mimi dk rioba hanipi kula,namfahamu miaka mingi tu na kuna wakati nikifanya kazi nje ya nchii nilimwita na kumpa kazi kubwa sana na aliifanya vizuri tu.Yawezana ana udhaifu kama alivyo binafamu yoyote yule,na pia yawezekana asingeweza kuyafanya yote ambayo watu humu walitaka afanye,lakini hiyo sio sababu ya kumbeza ba kumtukana.Na kuna watu wanadhani eti hama pa kwenda atalialia kuomba kazi.Sio dr rioba ana ofa kibao za kazi ikiwemo ya kufundisha
 
KAzi uliyompa Dk Riyoba anaweza simama mbele za watu na kuitaja ili impe credit na kupanda mbele career wise?

Ukiwa nje ya nchi na ukanipa mimi kazi ya kufanya ambayo ni ndani ya uwezo wangu nitaifanya pia.

Kwa level yangu mimi sina hadhi ya kua mfagia choo wa Dk Riyoba hiyo ni kweli. Hata mabosi zangu wakinikuta watashangaa imekuaje.
 
Sasa sual ni la dr rioba ya kigwangwalah yanakujaje
Si ndiyo hoja yangu ya msingi au we ulidhani mi nimekuja kugombana hapa?

Nilisema anashindwa onyesha alichowahi kufanya kuanzia anateuliwa hapo mpaka anaondoka badala yake anaandika vijembe.

Nikasema pia ndiyo sababu Kigwangala anaomba ajira LinkedIn kwakua hawa watu hua hawafanyi kazi ambazo international entities zinaweza ona ziwatafute.

Wewe ukadai Facebook ni kuandika vijembe na vitu vya msingi anafungia kabatini.
 
ok kama hiyo ndio ilikuwa mantiki yako uko right,nami na withdraw hoja yangu ya kukupinga,isipokuwa mie sio chura ni binadamu mwenye hadhi na heshima yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…