Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anaelezea umuhimu wa kuilinda Amani ya taifa letu kwetu sisi kama Vijana.
Akitolea mfano yalitokea Oktoba 29, amesema haikuwa tarehe nzuri sana na ilitufundisha jambo kwa kila mtu , ndio maana tarehe 9 Disemba watu fulani walivyoitisha vijana wa Kitazania haukutaka kutoka tena