beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).
Charles Jackson Itembe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Eneo Maalum la Mauzo ya Nje (EPZA).
Aidha, Rais Samia amemteua Ernest Maduhu Mchanga kuwa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC).