Dkt. Baghayo Abdallah Saqware ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TIRA

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).

Charles Jackson Itembe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Eneo Maalum la Mauzo ya Nje (EPZA).

Aidha, Rais Samia amemteua Ernest Maduhu Mchanga kuwa Katibu wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC).

 
Namuona Itembe na Maduhu ,waliodhani Sukuma itapotezewa na Samia wanajionea wenyewe.
 
Namuona Itembe na Maduhu ,waliodhani Sukuma itapotezewa na Samia wanajionea wenyewe.

Wana shida gani juu ya usukuma wao....? Hakuna kinachoitwa Sukuma gang. Bali walafi wa madaraka.
 
Wasukuma ni wapole ila siku watakaposema Ndhuhu duu , twalemaga lulu, ndo mtawajua mnawaona Kama wachunga Ng'ambe hawajasoma mtaomba poo
Namuona Itembe na Maduhu ,waliodhani Sukuma itapotezewa na Samia wanajionea wenyewe.
Twa
 
Tukisema nyie watu ni wapuuzi na wajinga mnasema tunawaonea!

Kwa iyo unafurahia kwa sababu tu wateuliwa ni wasukuma na sio kwa utanzania wao au utendaji wao? Wajinga sana nyie watu
aisee Hawa watu Ni hatari Sana kwa usalama wa Taifa,wameweka mbele maslai ya kabila lao kuliko chochote, na Chuki zao kwa Rais ndio zimesimamia hapo na kwenye imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…