Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akubariki baba askofu! Kila kitu ni yeye TU! Hizi ni Kodi zetu!
Kuwa timu moja ni jambo lengine na mmoja kufanya yote peke yake ni jambo lengine.Jibu ni kwamba rais na viongozi wote ni timu moja.
Akisifiwa golkipa Emi Martinez au Allison ni sawa na kusifiwa timu nzima ya Aston Villa ama Liverpool.
Understood, Dr.?
BTW, rasilimali za nchi zitumike kwa manufaa ya Watanzania.
Wampeleke Katavi huyu
hayo maving'ora ni ya nini?Wampeleke Katavi huyu
Wakenya wana akili kubwa kuliko mtu yeyote wa Afrika Mashariki.Si vijana pekee yao,si wazee pkee yao, akina mama peke yao,Wakikuyu peke yao,Wakurya pekee yao,Wajaluo pekee yao,Wameru pekee yao,Wakalenjini pekee yao hawataki udhalimu wa Ruto bali wote wako pamoja kupingana na hujuma za dola yao.Na sisi tukiwa hivyo maneno ya kumsifia Rais yataisha mara moja.
Kwanini JF wameyaweka ?hayo maving'ora ni ya nini?