Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 17
- 38
Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana.
Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini kuwa bado wananchi wana mawazo ya enzi za mwalimu,ameachwa sana na wakati.
Haendani na kasi ya mabdiliko yalipo kwenye kizazi cha sasa na ikitokea kweli wamemtangaza kama Makamu Mwenyekiti basi CCM itakuwa imepiga hatua 10 kurudi nyuma.