Dkt. Bashiru Ally uliyasema haya. Je, bado unayaamini?

Dkt. Bashiru Ally uliyasema haya. Je, bado unayaamini?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Dkt. Bashiru ulisema Katiba ya sasa haifai kutuongoza kwani imeundwa katika mfumo wa chama kimoja.

Tangu 1995 tumeingia katika Uchaguzi wa Vyama vingi na time ya Warioba kuna na rasmi lakini Katiba haijabadilika.

Ukiwa Katibu Mkuu wa CCM msimamo wako juu ya Katiba mpya ni upi?
 
Mbona CDM walisema Lowassa fisadi lakini baadaye wakampa nafasi ya kugombea Urais, tena kwa kura za ndiyoo
 
Back
Top Bottom