Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jul 13, 2020 #1 Dkt. Bashiru ulisema Katiba ya sasa haifai kutuongoza kwani imeundwa katika mfumo wa chama kimoja. Tangu 1995 tumeingia katika Uchaguzi wa Vyama vingi na time ya Warioba kuna na rasmi lakini Katiba haijabadilika. Ukiwa Katibu Mkuu wa CCM msimamo wako juu ya Katiba mpya ni upi?
Dkt. Bashiru ulisema Katiba ya sasa haifai kutuongoza kwani imeundwa katika mfumo wa chama kimoja. Tangu 1995 tumeingia katika Uchaguzi wa Vyama vingi na time ya Warioba kuna na rasmi lakini Katiba haijabadilika. Ukiwa Katibu Mkuu wa CCM msimamo wako juu ya Katiba mpya ni upi?
mr mkiki JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 5,588 Reaction score 11,668 Jul 13, 2020 #2 Yupo mezani hawezi kusikia
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 4,437 Reaction score 13,836 Jul 13, 2020 #3 Kwasasa anadumisha fikra za mwenyekiti. U-turn waliyoipiga yeye, chakubanga na kabudi sio ya dunia hii.
Kwasasa anadumisha fikra za mwenyekiti. U-turn waliyoipiga yeye, chakubanga na kabudi sio ya dunia hii.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jul 13, 2020 #4 Hayo aliyasema angali jalalani, saivi ni kusifu na kusujudu tu.
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 1,384 Reaction score 2,880 Jul 13, 2020 #5 Hii nchi haina mzalendo mbele ya hela. Bashiru ,kitila mkumbo na n.k wote saiz ni wachumia tumbo
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Jul 13, 2020 #6 Katolewa jalalani atakumbuka tena ?Kutoka kwenye mshahara wa million 5 hadi kwa mshahara wa million 15 na marupurupu kibao,V8 unawekewa full tank,dereva,unalipiwa charges zote. Katiba mpya tupa kule.
Katolewa jalalani atakumbuka tena ?Kutoka kwenye mshahara wa million 5 hadi kwa mshahara wa million 15 na marupurupu kibao,V8 unawekewa full tank,dereva,unalipiwa charges zote. Katiba mpya tupa kule.
chase amante JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 5,599 Reaction score 2,115 Jul 14, 2020 #7 Mambo yanabadilika
M Mwamalili JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 1,125 Reaction score 1,383 Jul 14, 2020 #8 mwarobaini_ said: Kwasasa anadumisha fikra za mwenyekiti. U-turn waliyoipiga yeye, chakubanga na kabudi sio ya dunia hii. Click to expand... Mimi binafsi naona aibu,sijui upande wa familia zao hali ikoje.
mwarobaini_ said: Kwasasa anadumisha fikra za mwenyekiti. U-turn waliyoipiga yeye, chakubanga na kabudi sio ya dunia hii. Click to expand... Mimi binafsi naona aibu,sijui upande wa familia zao hali ikoje.
Naipendatz JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 5,096 Reaction score 8,234 Jul 14, 2020 #9 Mbona CDM walisema Lowassa fisadi lakini baadaye wakampa nafasi ya kugombea Urais, tena kwa kura za ndiyoo
Mbona CDM walisema Lowassa fisadi lakini baadaye wakampa nafasi ya kugombea Urais, tena kwa kura za ndiyoo