Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM haiwezi kulisemea suala la Mbunge kupita bila kupingwa kwa sababu ni jambo la Kikatiba

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM haiwezi kulisemea suala la Mbunge kupita bila kupingwa kwa sababu ni jambo la Kikatiba

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika.

Naye Askofu Bagonza amesema ni dharau na mateso makubwa kuwaongoza watu ambao hawajakuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni suala la muda tu na yeye atakaa benchi aanze kubung'aa na maamuzi yao ya kutaka kunajisi kila kitu ... namsikitikia sana huyo jamaa na Pole pole wake.

Tanzania Huru yenye haki na demokrasia bado kitambo kidogo...
 
Sa kama Jiwe fomu ilichapwa moja tu na mtoa fomu akafunga ofisi akasepa zake,

CCM hakuna demokrasia
 
Back
Top Bottom