Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mgao wa umeme ni tatizo kubwa na linalogusa karibu kila mtu hivyo kisiasa ni jambo la hatari sana kwa CCM.
Sasa kuibuka kwa Dr. Bashiru na matamshi yake yanayoonekana kumlenga Bi. Mkubwa kipindi hiki cha mgao, lengo ni kuhamisha attention ya watu kutoka kwenye mgao wa umeme waanze kujadili matamshi ya Bashiru ?
Kama huo ndio mpango wao, binafsi naona wamechemka na zaidi watakuwa wanamuweka Bi. Mkubwa mahali pabaya zaidi.
It is very unlikely, ila kwa hawa watu bado inawezekana.
Watanzania tupaze sauti kudai maji na umeme, haya ya Bashiru na Mwenyekiti wake yatapita tu na Bashiru hakuna anachoweza kufanya.