Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mgao wa umeme hauwezi kufunikwa na jambo lolote kwani umeme ni uchumi na maisha ya watu.Kwa sababu ninyi watz ni wajinga
CCM ndiyo kuna wajingaKwa sababu ninyi watz ni wajinga
Umewaza kijinga sana aiseeMgao wa umeme ni tatizo kubwa na linalogusa karibu kila mtu hivyo kisiasa ni jambo la hatari sana kwa CCM.
Sasa kuibuka kwa Dr. Bashiru na matamshi yake yanayoonekana kumlenga Bi. Mkubwa kipindi hiki cha mgao, lengo ni kuhamisha attention ya watu kutoka kwenye mgao wa umeme waanze kujadili matamshi ya Bashiru ?
Kama huo ndio mpango wao, binafsi naona wamechemka na zaidi watakuwa wanamuweka Bi. Mkubwa mahali pabaya zaidi.
It is very unlikely, ila kwa hawa watu bado inawezekana.
Watanzania tupaze sauti kudai maji na umeme, haya ya Bashiru na Mwenyekiti wake yatapita tu na Bashiru hakuna anachoweza kufanya.
Sasa hivi CCM wataibuka kila kona kumshbulia Bashiru na nyiny mtabaki kuwajadili wakati issue ya msingi kwa sasa ni maji na umeme.Umewaza kijinga sana aisee
WATANZANIA DAINI MAJI UMEME NA TOZOMgao wa umeme ni tatizo kubwa na linalogusa karibu kila mtu hivyo kisiasa ni jambo la hatari sana kwa CCM.