johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe unabishana na katiba?Hakuna la maana hapo
Ndio.Huyo naye ni Daktari?
Rais hataongeza ila Magufuli ndio ataongeza.Mbona hata Rais alishaweka wazi hataongeza hata sekunde moja hii ipo wazi kabisa.
Wabunge wakiamua ni kwamba wananchi wameamua!Mbona hata Rais alishaweka wazi hataongeza hata sekunde moja hii ipo wazi kabisa.
Mwambie bashiru kama hawana nia ya kumuongezea jamaa muda wakae kimya ila wanavyojibujibu wanatutia mashakaKatibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10......
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10...
Ufipa sio hospitaliNdio.
Hapo Ufipa kuna madaktari wangapi?
Ccm sio wa kuwaani sana maana shein alishawahi kuzidisha mudaWapinzani wakikosa hoja huwa wanakuja na vioja. Nakumbuka haya waliwahi kuyasema hata ktk miezi ya mwisho mwisho ya utawala wa JK kwamba anapanga kuongeza siku za kukaa madarakan, JK akawajibu kwamba hatozidisha hata dakika 1 ya kukaa madarakan kwa mujibu wa sheria. Sasa leo tena badala ya kuja na hoja zenye mashiko wao wanakuja na hoja za masikitiko.
Mbona hata Rais alishaweka wazi hataongeza hata sekunde moja hii ipo wazi kabisa.
Kagame ni Katibu mkuu wa chama?Hata KAGAME alikataa katakata swala la kubadilisha katiba na kujiongezea MUDA.
Dr Slaa alikuwa anatibu?Ufipa sio hospitali
Huo utakuwa mgogoro mpya na utaenda kueleta kishindo kikubwa sana tutaomba kuwe na referendum na tuwe na chombo huru kitakacho simamia hizo kura zetu.Wabunge wakiamua ni kwamba wananchi wameamua!