Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati DKt Doto Biteko ametoa zawadi hiyo mkoani Kilimanjaro wakati aliposhiriki mbio za Kili Marathon za kilomita 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doto Biteko ni kijana anashiriki vipi mbio za kilomita 5, hizo ni FUN Run! Wangalau kwa umri wake angekimbia 21km.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati DKt Doto Biteko ametoa zawadi hiyo mkoani Kilimanjaro wakati aliposhiriki mbio za Kili Marathon za kilomita 5.