PreGE2025 Dkt. Biteko: CCM imefanya kazi mpaka ikapitiliza kile ilichoahidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkataba wake na wananchi mpaka kufika mwaka 2025 haikuwa (kufikisha umeme kwenye) vitongoji, ilikuwa vijiji tu, vijiji imemaliza kabla ya wakati, na kabla ya wakati imehamia vitongojini na vitongoji 64,033 vyote vina umeme, yaani kwa maneno mengine CCM imefanya kazi mpaka ikapitiliza na kile ilichoahidi"

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge waliochangia hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Your browser is not able to display this video.
 
Jimbo la nyamagana tunataka mabadiliko, tukutane October

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nilisahau no reform no election
 
Nafikiri kupitiliza utekelezaji ni kukiuka ilani sio sifa !
 
Huyu Mtutsi naye arudi Rwanda tu.
 
Ma tapeli nyie, Mbwa kabisa Ma CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…