Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024 katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaaam.
IMG-20240915-WA0007.jpg
IMG-20240915-WA0008.jpg
IMG-20240915-WA0009.jpg
IMG-20240915-WA0010.jpg
IMG-20240915-WA0011.jpg
IMG-20240915-WA0013.jpg
IMG-20240915-WA0012.jpg
 
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 🌹

Ayubu 1:6-12
Ayubu 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁶ Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao.
⁷ Bwana akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
⁸ Kisha Bwana akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu.
⁹ Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Je! Huyo Ayubu yuamcha Bwana bure?
¹⁰ Wewe hukumzingira kwa ukigo pande zote, pamoja na nyumba yake, na vitu vyote alivyo navyo? Kazi za mikono yake umezibarikia, nayo mali yake imeongezeka katika nchi.
¹¹ Lakini nyosha mkono wako sasa, uyaguse hayo yote aliyo nayo, naye atakukufuru mbele za uso wako.
¹² Bwana akamwambia Shetani, Tazama, yote aliyo nayo yamo katika uwezo wako; lakini usinyoshe mkono wako juu yake yeye mwenyewe. Basi Shetani akatoka mbele za uso wa Bwana.
 
Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu
View attachment 3096526
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024 katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaaam.
View attachment 3096519View attachment 3096520View attachment 3096521View attachment 3096522View attachment 3096523View attachment 3096524View attachment 3096525
Hapo kila mtu ana lake kichwani
 
Leo ndiyo watawala wanakumbuka kuna vitabu vya Mungu.

Akina Wambura, Mafwere, Mombo, Masauni, mahakama, Bunge na vikosikazi wanatambua hayo kweli?
 
Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu
View attachment 3096526
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024 katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaaam.
View attachment 3096519View attachment 3096520View attachment 3096521View attachment 3096522View attachment 3096523View attachment 3096524View attachment 3096525
Kuvumiliana kupo lakini Siyo katikà kutekana na kuuana makusudi.

Mtu yoyote yule anayepanga makusudi kumteka na kumuua mtu mwingine anastahili kupata malipizi yaliyo sawa sawa na matendo yake. Malipizi ya kisasi ni halali yake.

Kipimo anachowapimia wenzake ndicho hicho hicho atakachopimiwa. Ni mwendo wa Jino kwa jino, jicho kwa jicho, na jeraha kwa jeraha!
 
Hatutakiwi kuuvumilia ushetani, bali tunatakiwa kujitenga na ushetani.

CCM imenajisiwa na shetani, tujitenge nayo. Kama hujaona chama kikufaacho kuambatana nacho, ni aheri ukaishi bila chama cha siasa, kuliko kujifungamanisha na ibilisi CCM, usije ukastahili kuadhibiwa pamoha nayo
 
Soma Ayubu 1:6-12

Itakusaidia kuhusu Kazi za shetani 😄
 
Back
Top Bottom