Tutafika mbinguni tumechoka sanaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira.
Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na watu kwenye vyanzo vya maji hayo, kitendo ambacho hupunguza uzalishwaji wa umeme wa kutosha.
Malizia sasa useme ili umeme usikatikeJamani tupandeni miti na tutunze mazingira.
uyu mtusi atulie hana anachokijuaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira.
Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na watu kwenye vyanzo vya maji hayo, kitendo ambacho hupunguza uzalishwaji wa umeme wa kutosha.
😃 😃Malizia sasa useme ili umeme usikatike
Kama ufikaji WA SGR DAR Morocco inatuchukua miaka na miaka, hiyo gesi itafikaje Kagera , Mara, Kigoma nk.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira.
Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na watu kwenye vyanzo vya maji hayo, kitendo ambacho hupunguza uzalishwaji wa umeme wa kutosha.
Ndio waziri, hii ni moja ya sababu Ila why tumefika huku?,yaani tatizo la mazingira sio la leo wala jana ni la muda mrefu sana,na muda wote huo ni blah blah tu, Tanzania tunahitaji kuingia kwenye technology mpya ya kuzalisha umeme rafiki, umeme wa upepo, solar energy na tanesco ivunjwe na ijengwe upya,jukumu lake liwe ni kusambaza umeme tu na SIO kuuzalishaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira.
Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na watu kwenye vyanzo vya maji hayo, kitendo ambacho hupunguza uzalishwaji wa umeme wa kutosha.
Haya mafyriko yanayotukumba ni amfurika ya maji au ya tope kama Kartesh?Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira.