Aisee hii kitu asikwambie mtu mkuu ....
Jamaa kaja na msiba wa mdogo wake mpaka songea kuja kuzika mdogo . Katika harakati za kuaga muda umefika jamaa kapita kuaga ,baada ya kustep forward kaanza kujisikia vibaya ikabidi ashikwe awekwe pembeni kidogo apate hewa huku wananzengo wakijua ni Ile ya Hali ya majonzi mazito labda presha na nn .......
Bahati nzuri au mbaya ,kulikua na doctor mwenzake ambaye alikua amemsindikiza ...akanote kitu kwamba c Hali ya kawaida .......akaona kabisa daktar mwenzake ameanza sijui kitaalamu wanasemaje sijui kusuffocate sijui nini huko mm sijui......
Ikabidi wachukue usafir chap wawah hosp ya mkoa Ruvuma .........
Lakini Kwa bahati isiyo nzuri mpaka anafika hosp (sehem kama 2km from hosp 500 t nauli bajaji) .......akawa ameumaliza mwendo .......bila hata kumzika mdogo wake alietoka na msiba DSM wa mdogo wake kuja kumzika ....lakini ndo hivyo wote wametangulia mbele ya haki....
ni tukio ambalo hata asomjua kama Sisi tuliguswa na kubaki kusikitika kweli , wengine kulia kabisa kila ukiangalia wale ndugu walioacha msiba nyumbani kuja kumkimbiza Kaka wa marehem hospi ......hawaamini kinachotokea ....wanahisi kama maigizo ivi but ndo Ivo tena.
Pole Kwa familia na walioguswa pia.
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun.