TANZIA Dkt. Casper Haule wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afariki dunia

Corona imeingia sasa kile kirusi hatarishi tufanye kujifukiza

Apumzike kwa amani. Nyuma yake mbele yetu.

Kama taifa tungali na safari ndefu maana hata yule wa India tungali tunachunguza alikotokea.

Bila shaka hiyo ndiyo ilishatoka hiyo.
 
Apumzike kwa amani. Nyuma yake mbele yetu.

Kama taifa tungali na safari ndefu maana hata yule wa India tungali tunachunguza alikotokea.

Bila shaka hiyo ndiyo ilishatoka hiyo.
Kuna mtu kafa?
 
Apumzike kwa amani.. Kifo kimezaa kifo
 
Apumzike kwa amani. Nyuma yake mbele yetu.

Kama taifa tungali na safari ndefu maana hata yule wa India tungali tunachunguza alikotokea.

Bila shaka hiyo ndiyo ilishatoka hiyo.
Yaani wewe ubongo wako umejaa Corona tu.
Ukila Corona,ukiamka Corona.
Kama umetumwa vile
 
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba, Mungu awape nguvu na faraja kwa kipindi kigumu wanachopitia. Kibinadamu sio rahisi kupokea na kuamini ila njia za Mungu hazichunguziki...tutawaweka kwenye maombi.
 
Poleni sana Mungu akawe mfariji wenu ktk kipindi hiki kigumu, kupokea msiba mmoja tuu kwangu ni ngumu nawaza wao miwili at per. Poleni sana kwa kweli
 
Songea kuna wachawi sana
 
dah upendo ulioje,yaani mpaka unaondoka na ndugu yako[emoji24][emoji24].

sasa balaa ni kwa wenye msiba X2
rip dr na mdogo wake.
Haya Mambo yanafaa yatafsiriwe Na Mshana Jr!! Mshana njoo huku!! Anyway ni mdogo wake Ila kuaga mwili kuna shida hasa maeneo watu wanapoabudu Nguvu za Kiroho kwa sana
 
Inasikitisha sana misiba miwili wakati mmoja. Mungu awafariji waliobaki wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…