Yanaongelewa mengi nasikia sikia.πSongea kuna wachawi sana
Si unaona!! yaani Songea na Mwanza wana huo uchawi wa kumchukua mtu mzimamzima, aidha anafanywa msukule au analiwa nyama kama kuna mzazi au Mjomba na shangazi zao walikula za wenzaoYanaongelewa mengi nasikia sikia.[emoji119]
wananzengo wanasema kama jamaa ndo alikua bega Kwa bega mpaka mdogo wake anafariki ,akaja na marehem toka dear mpaka huku yeye mwenyew kuja mzika ,hiyo presha sijui mshtuko si angeupata huko huko aje aupate dakika za mwisho huku.
Okay ..nilisikia huyo mdogo wake alifariki ghafla Kwa kuanguka tu.
Dah sio poa kabisa Mzee...Si unaona!! yaani Songea na Mwanza wana huo uchawi wa kumchukua mtu mzimamzima, aidha anafanywa msukule au analiwa nyama kama kuna mzazi au Mjomba na shangazi zao walikula za wenzao
Sijui tutaachana na hizi imani lini masikini. Poor Africa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Si unaona!! yaani Songea na Mwanza wana huo uchawi wa kumchukua mtu mzimamzima, aidha anafanywa msukule au analiwa nyama kama kuna mzazi au Mjomba na shangazi zao walikula za wenzao
Yaani Mimi Sina wasiwasi na MAGUFULI kwenye corona.
Mungu wangu!Aisee hii kitu asikwambie mtu mkuu ....
Jamaa kaja na msiba wa mdogo wake mpaka songea kuja kuzika mdogo . Katika harakati za kuaga muda umefika jamaa kapita kuaga ,baada ya kustep forward kaanza kujisikia vibaya ikabidi ashikwe awekwe pembeni kidogo apate hewa huku wananzengo wakijua ni Ile ya Hali ya majonzi mazito labda presha na nn .......
Bahati nzuri au mbaya ,kulikua na doctor mwenzake ambaye alikua amemsindikiza ...akanote kitu kwamba c Hali ya kawaida .......akaona kabisa daktar mwenzake ameanza sijui kitaalamu wanasemaje sijui kusuffocate sijui nini huko mm sijui......
Ikabidi wachukue usafir chap wawah hosp ya mkoa Ruvuma .........
Lakini Kwa bahati isiyo nzuri mpaka anafika hosp (sehem kama 2km from hosp 500 t nauli bajaji) .......akawa ameumaliza mwendo .......bila hata kumzika mdogo wake alietoka na msiba DSM wa mdogo wake kuja kumzika ....lakini ndo hivyo wote wametangulia mbele ya haki....
ni tukio ambalo hata asomjua kama Sisi tuliguswa na kubaki kusikitika kweli , wengine kulia kabisa kila ukiangalia wale ndugu walioacha msiba nyumbani kuja kumkimbiza Kaka wa marehem hospi ......hawaamini kinachotokea ....wanahisi kama maigizo ivi but ndo Ivo tena.
Pole Kwa familia na walioguswa pia.
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun.
Yaani Mimi Sina wasiwasi na MAGUFULI kwenye corona.
Ni watu wangapi umewaona wanavaa barakoa huko mtaani?
Ugonjwa wa kitapeli huu
Soma post namba 6, acha kubwabwajaCorona imeingia sasa kile kirusi hatarishi tufanye kujifukiza
Umeamka na mimi bro? Post yangu inahusiana nini na hyo post namba 6? Nimesema marehemu kafa na Corona au nimesema tuchukue tahadhari kirusi hatarishi kipo. Tusiharibiane sikuSoma post namba 6, acha kubwabwaja
Hapana sijaamuka na wewe mkuuUmeamka na mimi bro? Post yangu inahusiana nini na hyo post namba 6? Nimesema marehemu kafa na Corona au nimesema tuchukue tahadhari kirusi hatarishi kipo. Tusiharibiane siku
R.I.E.P....Sad story...Aisee hii kitu asikwambie mtu mkuu ....
Jamaa kaja na msiba wa mdogo wake mpaka songea kuja kuzika mdogo . Katika harakati za kuaga muda umefika jamaa kapita kuaga ,baada ya kustep forward kaanza kujisikia vibaya ikabidi ashikwe awekwe pembeni kidogo apate hewa huku wananzengo wakijua ni Ile ya Hali ya majonzi mazito labda presha na nn .......
Bahati nzuri au mbaya ,kulikua na doctor mwenzake ambaye alikua amemsindikiza ...akanote kitu kwamba c Hali ya kawaida .......akaona kabisa daktar mwenzake ameanza sijui kitaalamu wanasemaje sijui kusuffocate sijui nini huko mm sijui......
Ikabidi wachukue usafir chap wawah hosp ya mkoa Ruvuma .........
Lakini Kwa bahati isiyo nzuri mpaka anafika hosp (sehem kama 2km from hosp 500 t nauli bajaji) .......akawa ameumaliza mwendo .......bila hata kumzika mdogo wake alietoka na msiba DSM wa mdogo wake kuja kumzika ....lakini ndo hivyo wote wametangulia mbele ya haki....
ni tukio ambalo hata asomjua kama Sisi tuliguswa na kubaki kusikitika kweli , wengine kulia kabisa kila ukiangalia wale ndugu walioacha msiba nyumbani kuja kumkimbiza Kaka wa marehem hospi ......hawaamini kinachotokea ....wanahisi kama maigizo ivi but ndo Ivo tena.
Pole Kwa familia na walioguswa pia.
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun.
Allahumma amiin......π€²R.I.E.P....Sad story...
maisha ya binadamu ni very delicate...Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema.
Dah! Haya, Siku zake zilifika. Umeelezea vzuri...japo inashitua.Aisee hii kitu asikwambie mtu mkuu ....
Jamaa kaja na msiba wa mdogo wake mpaka songea kuja kuzika mdogo . Katika harakati za kuaga muda umefika jamaa kapita kuaga ,baada ya kustep forward kaanza kujisikia vibaya ikabidi ashikwe awekwe pembeni kidogo apate hewa huku wananzengo wakijua ni Ile ya Hali ya majonzi mazito labda presha na nn .......
Bahati nzuri au mbaya ,kulikua na doctor mwenzake ambaye alikua amemsindikiza ...akanote kitu kwamba c Hali ya kawaida .......akaona kabisa daktar mwenzake ameanza sijui kitaalamu wanasemaje sijui kusuffocate sijui nini huko mm sijui......
Ikabidi wachukue usafir chap wawah hosp ya mkoa Ruvuma .........
Lakini Kwa bahati isiyo nzuri mpaka anafika hosp (sehem kama 2km from hosp 500 t nauli bajaji) .......akawa ameumaliza mwendo .......bila hata kumzika mdogo wake alietoka na msiba DSM wa mdogo wake kuja kumzika ....lakini ndo hivyo wote wametangulia mbele ya haki....
ni tukio ambalo hata asomjua kama Sisi tuliguswa na kubaki kusikitika kweli , wengine kulia kabisa kila ukiangalia wale ndugu walioacha msiba nyumbani kuja kumkimbiza Kaka wa marehem hospi ......hawaamini kinachotokea ....wanahisi kama maigizo ivi but ndo Ivo tena.
Pole Kwa familia na walioguswa pia.
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun.
Daaah!poleni sana!very sad ...watoto na familia zao inasikitisha sanaAisee hii kitu asikwambie mtu mkuu ....