Pre GE2025 Dkt. Charles Kimei aanza ziara jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

MTANZANIA620

Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
65
Reaction score
81
1721082523805.png
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo.

Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa masuala na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Katika ziara yake hiyo aliambatana na diwani wa kata ya Kahe Mhe Aloyce Momburi, wajumbe wa kamati ya siasa ya kata wakiongozwa na katibu wa CCM Kata Ndg Melau Laizer, maafisa watendaji kata na vijiji wakiongozwa na Ndg Happy Msuya pamoja na wataalam toka bonde la Mto Pangani.
 
Hili jimbo letu, halipatagi wabunge wa kulisimamia kwa dhati reason unknown!, sio mrema, sio mbatia, sio kimei!, mabarabara hata grader hazipiti kutengeneza, mabarabara yanajifunga, hili jimbo linahitaji mkaazi wa hapohapo jimboni!, ili awe bega kwa bega na wanajimbo Ili:

° Kuamsha uchumi wa jimbo
° Kupambana na vijana walevi waliokata tamaa
° Kubuni harakati mpya za kiuchumi
° Kimei tulidhani ni mwerevu wa ku out source funds, kwa maendeleo ya jimbo kwa mikopo ya kimkakati kwa wanajimbo.
° Kubuni mazao ya kimkakati yenye faida kubwa Ili kuinua uchumi
 
WANAVUNJO PAMOJA NA YOTE, TUSIKOSEE TUKAJAWEKA MWAKILISHI WA UPINZANI TUTAKUWA TUMEJICHIMBIA KABURI WENYEWE!
-upo mpango kabambe wa kimaendeleo unaoandaliwa, ambao upo based katika utalii zaidi, kwa maeneo jirani yanayozunguka mlima kilimanjaro!, ZNZ - MOUNT KILI - ARUSHA.
 
Vunjo siku zote ni jimbo la wapenda maendeleo na mzee Kimei anatosha saana
 
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo.

Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa masuala na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Katika ziara yake hiyo aliambatana na diwani wa kata ya Kahe Mhe Aloyce Momburi, wajumbe wa kamati ya siasa ya kata wakiongozwa na katibu wa CCM Kata Ndg Melau Laizer, maafisa watendaji kata na vijiji wakiongozwa na Ndg Happy Msuya pamoja na wataalam toka bonde la Mto Pangani.
Huyu nae ni boya tuu. Aanze kufungisha virago.
Mbunge wa hovyo kabisa huyu.
Alitokea mwananchi mmoja wa Mamba Kusini kurekebisha barabara ambayo ilikuwa hazipitiki huyu anae jiita mbunge aka mzuia ati ana muingilia Jimboni mwake.
Wana kitongoji cha Kiruweni wame amua kuji changa kutengeza barabara yao mbunge hana stori. Ndio maana namuita boya.
Aanze kuwa aga wenzake bungeni kwa ubunge wa kuhongwa na mwenda zake. Labda amfuate huko aliko akampe tena ubunge shenzi kabisa
 
Kimei ni mchumi mzuri,fundi wa maswala ya protocol ya kiuchumi, mbunifu, sifahamu kwanini ameshindwa kuapply talent yake kwenye Jamii ya nyumbani kwake!
-Natamani siku moja wana Vunjo wawe na bank kubwa kabisa, chini ya usimamizi wa Dr kimei, "Vunjo community and cooperative bank" tuanze kununua share!
 
Back
Top Bottom