MTANZANIA620
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 105
- 116
Vunjo chadema haipo ,walitakaga kutuletea mkimbimbizi toka Uru(mwanamke)eti awe mmbunge wa Vunjo.Hivi chadema mnatuonaje wanavunjo?Ashauriwe astaafu ubunge kwa heshma kuliko kustaafishwa kupitia sanduku la kura.
Huyu ubunge alipewa na jiwe Kwa mtutu wa bunduki!James Mbatia yuko wapi apambane na huyu mbunge wa CCM kuchukua hili jimbo.
Tueleze kazi alizofanya jimboni, isije ikawa tunamlaumu bure kabisa!, labda amekosa afisa habari binafsi wa kutanabaisha utendaji wake!To be fair kimei umefanya kazi kubwa tu sema hujitangazi
Vunjo siku zote ni jimbo la wapenda maendeleo na mzee Kimei anatosha saanaWANAVUNJO PAMOJA NA YOTE, TUSIKOSEE TUKAJAWEKA MWAKILISHI WA UPINZANI TUTAKUWA TUMEJICHIMBIA KABURI WENYEWE!
-upo mpango kabambe wa kimaendeleo unaoandaliwa, ambao upo based katika utalii zaidi, kwa maeneo jirani yanayozunguka mlima kilimanjaro!, ZNZ - MOUNT KILI - ARUSHA.
Nyumba ndogo za kitalii Airbnb zinashika kasi kweli!. /Juhudi binafsi hizi.Vunjo siku zote ni jimbo la wapenda maendeleo na mzee Kimei anatosha saana
SaaanaNyumba ndogo za kitalii Airbnb zinashika kasi kweli!. /Juhudi binafsi hizi.
Tuleteeni yule muuru aje agombee ndio mtajua kuwa jimbo la Vunjo ni kwa ajili ya wanavunjo tuNdiyo anakumbuka shuka kukiwa kumekucha
Bado chadema watamleta yule mama wa uru ?hivi unategemea wanavunjo kuacha kumpa ubunge mwanavunjo mwenzetu mzee Kimei?Ashauriwe astaafu ubunge kwa heshma kuliko kustaafishwa kupitia sanduku la kura.
Bado chadema watamleta yule mama wa uru ?hivi unategemea wanavunjo kuacha kumpa ubunge mwanavunjo mwenzetu mzee Kimei?
Kwanini usigombee wewe?Tuleteeni yule muuru aje agombee ndio mtajua kuwa jimbo la Vunjo ni kwa ajili ya wanavunjo tu
Huyu nae ni boya tuu. Aanze kufungisha virago.Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo.
Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa masuala na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Katika ziara yake hiyo aliambatana na diwani wa kata ya Kahe Mhe Aloyce Momburi, wajumbe wa kamati ya siasa ya kata wakiongozwa na katibu wa CCM Kata Ndg Melau Laizer, maafisa watendaji kata na vijiji wakiongozwa na Ndg Happy Msuya pamoja na wataalam toka bonde la Mto Pangani.
Kimei ni mchumi mzuri,fundi wa maswala ya protocol ya kiuchumi, mbunifu, sifahamu kwanini ameshindwa kuapply talent yake kwenye Jamii ya nyumbani kwake!Huyu nae ni boya tuu. Aanze kufungisha virago.
Mbunge wa hovyo kabisa huyu.
Alitokea mwananchi mmoja wa Mamba Kusini kurekebisha barabara ambayo ilikuwa hazipitiki huyu anae jiita mbunge aka mzuia ati ana muingilia Jimboni mwake.
Wana kitongoji cha Kiruweni wame amua kuji changa kutengeza barabara yao mbunge hana stori. Ndio maana namuita boya.
Aanze kuwa aga wenzake bungeni kwa ubunge wa kuhongwa na mwenda zake. Labda amfuate huko aliko akampe tena ubunge shenzi kabisa