Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei asimikwa kuwa Simba wa Vunjo

Tangu upate ajali ya pikipiki Dodoma umekuwa mjinga
Mkuu Kamongo, kuishi ni majaaliwa tuu ya Mwenyezi Mungu, hakuna anayejipangia kupata ajali, hivyo kama mtu amepata ajali, na ajali hiyo ikamuathiri, akawa mjinga, hilo sio jambo la kushabikia, kubeza au kumtukana mjinga kwasababu sio yeye ni hali tuu, na haya ni mapito tuu, hakuna ajuaye kesho yake!.
Asante.
P
 
Una PhD, unavalisha matakataka mwili mzima kuitwa simba.siasa unafanya ubongo unageuka na kuwa Kama hujasoma
Kwani PhD ndo nini ama yeye ndiye wa kwanza kuipata hapa duniani.
Kwani wewe ukisoma unakuwa brainwashed kuwa usifuate mila za kwenu mana ni za kipumbavu,hazifai,majina yako ya asili hayafai,mavazi yenu na lugha yenu havina mana hata ngozi,kope na nywele zako sio nzuri hivyo viondoe weka hivi vya kisasa.
Na wewe kweli unakubali unaamini kuwa huo ndio usomi wako ama u PhD wako mkuu. Any away hongera kusoma na kudharau ya kwenu.
 
Kimei kwa akili alizo nazo hakupaswa kuwa kwenye hicho chama alichoko. Ona sasa anavyofunikwa na matakataka na wamasai wachafu wachafu. Na hawa wamasai wametokea wapi huko Vunjo? African are cursed!



YESU NI BWANA.
 
Jamani ebu tuwe wakweli, kule Vunjo kuna watu wa jamii ya Maasai kweli! Wenye ufahamu wa jambo hili waje watueleze. Kwa maeneo ya Bomang'ombe - Hai sawa, lakini Vunjo?
 
Jamani ebu tuwe wakweli, kule Vunjo kuna watu wa jamii ya Maasai kweli! Wenye ufahamu wa jambo hili waje watueleze. Kwa maeneo ya Bomang'ombe - Hai sawa, lakini Vunjo?
Nimeuliza the same question.nikajibiwa wapo Kule kahe ,Ila kahe Ni Jimbo la Moshi vijijini sio Jimbo la vunjo. Hao wamasai nadhani wamepelekwa huko vunjo Leo kwa fuso baadaye watarudishwa walikokutwa.
 
Huyu i waziri mtarajiwa. Sijajua wizara gani ila ni waziri.
 
Unauliza PhD ni nini?....wewe utakuwa hujasoma...
 
Unauliza PhD ni nini?....wewe utakuwa hujasoma...
Nyie ndio wale mnaosoma kidogo tu unataka uabudiwe. Kwani PhD INA nini cha ajabu mbona ni levo tu kama levo zingine za elimu. Sio kisa MTU una PhD unadhani ni damu yako imekuwa nyeusi na sio nyekundu.

MTU kwao na kila MTU ana mila zake.hata hao wazungu mnaowatukuza wana mila zao. Don't be brainwashed mkuu kisa na degree zako hata kama unazo buku. Mbona Mugabe pamoja na kuwa ndiye msomi mkubwa afrika aliyafanya ya kwao
 
Uache kumuabudu Mwenyezi Mungu umuabudu PhD holder kweli.......?...Wewe huijui PhD ya kweli labda unazoziona ndio zile za "Chupi"
 
Kweli madaraka ni upofu
 
Uache kumuabudu Mwenyezi Mungu umuabudu PhD holder kweli.......?...Wewe huijui PhD ya kweli labda unazoziona ndio zile za "Chupi"
Haya kaka Sina usemi sana . umeshinda ila huwezi fanyiwa mila za kikwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…