Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Lucas analalamika waonewe huruma waachiweKama mtu mmoja awamu 4 hazimtoshi, hao wengine akina Lucas Mwashambwa , MamaSamia2025 , ChoiceVariable , Tlaatlaah na Maghayo watakula kwa urefu wa kamba zao bungeni lini?
Au wataishia kutimliwa vumbi na akina Dr Musukuma na Jah People?
Mbunge atumikie wananchi vipindi viwili mwisho na yeye aende akaanzishe biashara au kufungua kampuni aajiri watu wengine wachukue nafasi yake. Baada ya vipindi viwili asiruhusiwe kugombea.Hata hoja zake ni nyepesi mno.
Hata apewe miaka 20 mingine bado kuna vitu atakua hajamaliza.