Dkt. Delilah Charles Kimambo ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mh! yani anaitwa Delilah halafu daktari wa moyo tumekwishwa!..😅
 
Hongera zake.. Tunaamini ni mtaaluma asiye chawa
Kwa mifumo yetu huyo ni chakula ya wajuba au mjuba fulani hahaha hakuna kupata uwaziri/ukurugenzi kama wewe ni ke bila ke kuchakatwa tena unachakatwa kwanza na tu juba hahaha
 
Tunadanganyano ooh majina huumba. But Delilah ni kiongozi sasa. Lknnnitaulizia habari zake kama ana mume!!? Na je hajamsaliti
 
Mimi nimefurahi sana yuke jamaa kuondoka muhimbili hapa rais alichezq kama pele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…