DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda?

Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti?

TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari.

Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa usiku na Mchana umepiga kimya.

Au tuseme ukeketaji umekubaliwa kisheria?

Nikutakie mchana mwema kwa kuendelea kuangalia hii Video hapa.

Kuna kila dalili wanawake wanaopewa dhama waneshindwa wajibu wao kwenye kuhudumia jamii wamehamia wakiandaa makongamano na semina Za kulipa a posho tu.

89FBA2AE-CADE-41EA-A3F6-776CE040FF7D.jpeg
 
Kwaiyo antenna ikitolewa wewe mleta mada unapungukiwa nini?..mambo mengine kuyafatiria ni dalili ya kukosa kazi tu...nakushauri get a job.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama moja ya sababu ya kukeketa ni kupunguza ashki ya kufanya mapenzi,jamii iangalie namna nzuri ya kudili na hilo jambo,na siyo kukeketa.
 
Back
Top Bottom