Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ipo katika hatua kadhaa mbele kwenye masuala ya nishati ya umeme kwani mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umeme.
Dkt. Biteko amesema hatua hiyo inawawezesha wananchi kuwa na uhakika wa nishati ya umeme na kuitumia katika shughuli zao za maendeleo.
Soma Pia: Mkutano wa Nishati Afrika (Africa Energy Summit) 27-28 Januari, 2025
Akihutubia wakati wa mkutano wa kilele wa nishati barani Afrika unaofanyika nchini Tanzania, Dkt. Biteko amesema Tanzania ina lengo la kuwafikishia Watanzania milioni nane huduma ya umeme ifikapo mwaka 2030.