Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile kisa uchaguzi mkuu mwa mwaka 2025 huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wananchi maendeleo.
Dkt. Biteko amesema hayo Mei 3, 2025 mkoani Tabora mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguzo za Zege cha TCPM.
"Katika uchaguzi Mkuu ujao tusikubali kugawanywa wala kudanganywa kwa misingi yoyote ile, tukitanguliza tofauti zetu, matokeo yake yataishi kwa kipindi kifupi na madhara yake yatakuwa ya muda mrefu", amesema Dkt. Biteko.
View attachment 3325013
Sawa kabisa, sasa mbona mnaogopa kufanya uchaguzi uwe wa haki?Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile kisa uchaguzi mkuu mwa mwaka 2025 huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wananchi maendeleo.
Dkt. Biteko amesema hayo Mei 3, 2025 mkoani Tabora mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguzo za Zege cha TCPM.
"Katika uchaguzi Mkuu ujao tusikubali kugawanywa wala kudanganywa kwa misingi yoyote ile, tukitanguliza tofauti zetu, matokeo yake yataishi kwa kipindi kifupi na madhara yake yatakuwa ya muda mrefu", amesema Dkt. Biteko.
View attachment 3325013
kumuunga mkono sa100 ni kuunga mkonoNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile kisa uchaguzi mkuu mwa mwaka 2025 huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wananchi maendeleo.
Dkt. Biteko amesema hayo Mei 3, 2025 mkoani Tabora mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguzo za Zege cha TCPM.
"Katika uchaguzi Mkuu ujao tusikubali kugawanywa wala kudanganywa kwa misingi yoyote ile, tukitanguliza tofauti zetu, matokeo yake yataishi kwa kipindi kifupi na madhara yake yatakuwa ya muda mrefu", amesema Dkt. Biteko.
View attachment 3325013
ndo hapo sasa!Kwani kuna uchaguzi 2025?
wacha wajidanganye ati kuna uchaguziMbona tushakubaliana........No reform, No election