Dkt. Edward Hosea anatafuta nini Urais wa TLS?

Kwenye list ile sijaona any suitable candidate, yeyote ni bora liende tu.
 
Ni jukumu lenu mawakili vijana kuamua direction ya taasisi yenu. Hosea belongs to the past; he cannot add value to what the past presidents created.
So as Msando na Stolla hawafai, I am into practice for ten years now tumekuwa under attack kwa muda ila tumejitahidi kuwakataa wanaoletwa kukisaliti chama. Msando amepata pigo he was expecting kupata zengwe sababu alikuwa na back up ya mkulu aliyetutoka na nia take alikuwa anakuja kuharibu chama ili akimaliza hiyo kazi apewe cheo serikalini. Mzee hajawahi kutupenda mawakili na alikuwa anahakikisha anatubana sababu sisi ni watu wa kuhoji taratibu maybe alikuwa hataki kuhojiwa. Hawa walikuwa ni vibaraka ambao walitaka kuharibu taswira ya profession yetu Mungu so Athumani lakini na amekatwa jina wote wamekatwa. Waliobaki Sina tatizo nao especially Flaviana alishwahi kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi DARUSO wakati namalizia undergraduate degree yangu miaka hiyo ya 2000 mwanzoni. Huyu dada sina Shaka nae ila hawa wengine ukiacha yule nadhani shombe au mhindi hao wengine ni tatizo kubwa kwa ustawi wa chama chetu uzuri wanasheria huwa tuna kauli moja maana moja ni moja tu sio mbili.ukisema mbili tunabaki kuangalia tu tutakutana mahakamani.
 
Tushindane kwa hoja tu , tusianze kuwa kama wale wanaccm wa bungeni .
 
Nilishamsahau,nikawa najiuliza kuwa hili jina si geni masikioni mwangu, hakika madaraka yakikutoka basi kila kitu kinasahuliwa,kweli mimi nilikuwa wa kumsahau Dr Edward Hosea?
Ha ha ha ameshashinda huko kwa ushindi mwembamba kapata kura 230 kati kura 800. Msando kawa wa mwisho anakula 60 kati ya 800.
 
Ha ha ha ameshashinda huko kwa ushindi mwembamba kapata kura 230 kati kura 800. Msando kawa wa mwisho anakula 60 kati ya 800.
Naamini kutokana na ukwasi alionao basi hizo kura si ajabu amezipata kwa kuwarubuni ha wanasheria.
 
Hosea sio Mataga
Ni jukumu lenu mawakili vijana kuamua direction ya taasisi yenu. Hosea belongs to the past; he cannot add value to what the past presidents created.
 
Wastaafu Tena wanaopata mafao lukuki hua hawaridhiki, yaani hawawezi kabisa kuushinda moyo,kwa mfano
1.kimei,hakua na haha ya kugombea ubunge,alitakiwa atafune tu mijihela Hadi mwisho wa akaunti yake ya Maisha duniani ufike,
2.aliekua DCI enzi hizo,adadi rajabu
3.aliekuau CDf
Na wwnginey wengi tu,watu Kama kina wasira tu au job ndugu hai vile vile,kitu,lakaa bungeni miaka ishirini na tano haliridhiki tu?
 

Nimejiuliza sana bila kuwa na majibu
 
Ha ha ha ameshashinda huko kwa ushindi mwembamba kapata kura 230 kati kura 800. Msando kawa wa mwisho anakula 60 kati ya 800.
Hivi Msando tangu anunuliwe kutoka Chadema amewahi kushinda nini ? Chadema alishinda udiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…