Mazoezi watu tumeyavamia bila kujua hali za mioyo yetu. Mazoezi tunapaswa kufanya kwa kufata hali yako kiafya.
Mtu unakimbia ama kubeba vyuma kumbe spidi ya moyo wako ulipaswa ufanye mazoezi ya kutembea tu.
Binafsi nimewai kufika Apollo hospital india nilimsindikiza mgonjwa ambaye alikuwa mama yangu.
Nakumbuka niliona watu wengi wanaambiwa hawapaswi kufanya mazoezi yoyote magumu.
Wanashauriwa wawe na mazoezi mepesi mfani wanatembea evening walks.. ama wanunue stationary bikes.. jioni wawe wanaendesha baiskeli nyumbani kwao.
Kukimbia ama mazoezi magumu ni hatari sana kwa mtu ambaye unafanya kazi za ofisini muda mwingi mwili ume relax kazini