TANZIA Dkt. Elineema Kisanga wa UDSM Idara ya Uchumi afariki Dunia

Rest in peace Dr.

Inauma sana kuona hazina za taifa zinapotea .
 
Siyo huyo naona wamefanana majina ya nwisho,Sorry
 
Kwa kweli.
 
Hakika mkuu, kuna watu wengi sana mazoezi yamewapeleka pabaya.

Kun Aguero almanusra afe kutokana na shida ya moyo licha ya kuwa ni mwanasoka na mfanya mazoezi wa muda mrefu.
 
Namfahamu Kisanga wa Geography Familia yake ipo Marekani? Nina lake linaanza na Danielson D Kisanga
Siyo huyo
Hakika mkuu, kuna watu wengi sana mazoezi yamewapeleka pabaya.

Kun Aguero almanusra afe kutokana na shida ya moyo licha ya kuwa ni mwanasoka na mfanya mazoezi wa muda mrefu.
Wanawake huwa hawafanyi mazoezi but huishi umri mrefu tu kuliko sisi
 
Dr.Kisanga mwalimu wangu Udsm

Aliwahi nifundisha Public Finance semister 1 mwaka wa 3

Pumzika kwa Amani Dr.
 
itakuwa shambulizi la moyo{labda}
 
Raha ya milele umpe ee Bwana, Marehemu apumzike kwa amani.
 
Bado mbichi kabisa.Wajane tunaongezeka. R.I.P brother.
 
Umetoa elimu nzuri sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…