TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Kwenye Ukurasa wa Facebook wa Spika wa bunge Dr. Tulia muda si mrefu

ametuma " I hate death" akaweka picha ya Dr. Fustine Ndugulile, mbunge wa
Kigamboni.

Je wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili au ni akaunti yake imekuwa hacked?
Mpuuzi tu mnafiki huyo.

Ana-hate death halafu anachekelea kuona wapinzani wakiuawa! Mwanadamu ni kiumbe dhaifu asiyeweza kupambana na kifo chake na vya awapendao, ila kwa ujuha utamkuta na jopo la majuha wenzake kwenye meza ya mjadala wa kuamua nani afe na nani aishi wakati wote pale hawaijui kesho!

Btw, I hate death from the bottom of my heart. Kifo cha Dkt. Ndugulile kimenisikitisha sana kama vifo vya akina Kibao, Mawazo, Gwanda nk vilivyonisikitisha.
 
Makonda ana dawa, anyway, alitolewa kwenye uwaziri kwa sababu ya frequent trips za kwenda India kwa matibabu.

R. I. P, kigamboni imepoteza
Siyo kweli. Alitolewa kwenye uwaziri (Naibu waziri) kutokana na msimamo wake juu ya kujifukiza. Itoshe kuwa kuna kitu kizito behind this. Na India wala hakwenda muda mrefu
 
Waachie wenyewe maiti yao.ndo utaratibu waliojiwekea kuwapeleka watu likizo.kumbe wameenda kunywa miarobaini ila ikigoma Wana tangaza.mimi naona hata taarifa za msiba hazina haja kutangaza wazike kimya kimya fresh tu.
 
My Classmate 😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…