TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Mama kafanya tusijue tofauti ya vifo, yeye alisema "KIFO NI KIFO TU"

kila nafsi itaonja mauti...
 
Dah, apumzike kwa amani. Ulichoongea ni kweli kabisa. Alikuwa msikivu sana. Mimi nilimtafuta kwa kutumia namba wanazoweka kwenye website ya bunge. Enzi hizo akiwa naibu waziri afya. Sikuamini aliponijibu SMS yangu, na akanipa appointment ya kumuona, niliongea nae, na aliyafanyia kazi maoni yangu.

Hakika alikuwa tofauti sana.
 
Ukifa wewe unaenda kufukiwa, lakini yeye atazikwa
 
😭😭 Daaaah, maisha yetu ni kama maua, Dr Faustine Ndugulile hana baya, si mtu wa maneno ya siasa siasa, ni mtu wa kusimamia taaluma yake.
Mungu amjaalie pumziko lililo njema. 😭😭
 
Kama bunge linaandika kituko kama hicho, je aliyeko ngazi ya serikali ya mtaa, kijiji na kitongoji?! Aliyehusika kuandika naye aenguliwe mara moja! La sivyo bado hajafa hadi ifike 27 Novemba, 2025
My problem is not actually about the mistake itself. My grave concern is that they are being paid by our very taxes only to underperform like this!

Najiuliza tu, hali ya mikataba yetu ikoje? Dah! Tuna safari ndefu sana kama taifa.
 
Hakika una point muhimu taifa linapaswa kuitafakari njia waliochangua.
Ina faida kiasi gani na ina hasara kias gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…