Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Kigamboni

Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Kigamboni

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo Kigamboni

Taarifa hii imetolewa na watoto wake Martha na Melvin Novemba 2, 2024 katika hafla ya kumuaga baba yao katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam

Dkt. Faustine Ndugulile alifariki dunia wa kuamkia Novemba 27, 2024 nchini India alipokuwa akipata matibabu
 
Kifo cha huyu baba kimeniumiza sana. Mungu ampunguzie adhabu za kaburi he was such a great person. Kiongozi mahiri kabisa aliyesimamia professionalism na sio siasa za Magufuli in covid19 incidence. Taifa limepoteza,Africa imepoteza. RIP NDUGULILE
 
Kifo cha huyu baba kimeniumiza sana. Mungu ampunguzie adhabu za kaburi he was such a great person. Kiongozi mahiri kabisa aliyesimamia professionalism na sio siasa za Magufuli in covid19 incidence. Taifa limepoteza,Africa imepoteza. RIP NDUGULILE
Poleni sana kwa msiba wa Dr. Faustine Ndugulile, MP.

Dr. Ndugulile nilimjua kwenye mikutano ya kuchagiza The Fourth Industrial Revolution Tanzania wakati alivyokuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia kati ya mwaka 2020 na 2021.

Nilipata kujua kuwa ana utofauti fulani na viongozi wengi, kwa kuwa alikuwa anajitahidi sana kupata maoni ya watu, kujifunza mambo mapya, kuwaweka karibu wadau wa sekta ya teknolojia na hata kuwafanya wadau ni sehemu rasmi ya kushauri watengeneza sera.

Alianzisha mipango mizuri sana ya kuchukua maoni ya wadau kwenye mambo mapya kama Blockchain Technology na Crypto Currency.

Kwa bahati mbaya alivyoondolewa kwenye hiyo wizara, na zile outreachs zote alizoanzisha zikaisha. Hapo ndipo wadau tukaona pengo la Dr. Ndugulile.

Poleni sana kwa msiba.

RIP.
 
RIP brother, sote njia yetu moja bila kujali imani na itikadi!
 
Chanzo/Sababu ya kifo chake ni nini

Poleni wanafamilia

ova
 
Back
Top Bottom