Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Poleni sana kwa msiba wa Dr. Faustine Ndugulile, MP.Kifo cha huyu baba kimeniumiza sana. Mungu ampunguzie adhabu za kaburi he was such a great person. Kiongozi mahiri kabisa aliyesimamia professionalism na sio siasa za Magufuli in covid19 incidence. Taifa limepoteza,Africa imepoteza. RIP NDUGULILE