Dkt. Faustine Ndugulile: Watanzania kunufaika na biashara Mtandao kufikia 2025

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Watanzania kunufaika na Biashara Mtandao kufikia 2025.

"Lengo letu kufikia 2025 zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania tuwafikie kwa mawasiliano ya Internet na hadi 2025 tuwe tumeweka mazingira wezeshi ya biashara mtandao (E-commerce)".

Ameyasema hayo Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dr. Faustine Ndugulile wakati wa mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari Nchini Tanzania leo Tarehe 16, Juni 2021 katika UKUMBI wa Kilimani, Dodoma.



 
Ilifika wakati kipindi cha mwendazake kutamka neno "Crypto" ilikuwa sawa na kutamka neno "Bangi". Aishi maisha marefu mama Samia! #Mama wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…