BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Dkt. Florence Samizi Mbunge wa jimbo la Muhambwe, aunguruma bungeni akichangia Wizara ya Kilimo na akitaka hatua za serikali kwa makampuni yanayodhurumu wakulima fedha za mazao yao.
======
Waziri Bashe ajibu kuwa serikali imeanza kuchukua hatua za kisheria kwa kukatwa fedha kwa baadhi ya kampuni, pia serikali imefuata hatua za kisheria na itamaliza matatizo hayo, pamoja na kuja na sheria ya kilimo itakayofanya wizi unaofanyika kwenye sekta ya kilimo kuwa kosa la jinai.