and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Songwe tumejaa Wazanzibari tunapiga biashara za mazao na madini asitubugudhiHuyu mwamba mtata sana 🔥
uyu ana PhD ya mchongo naskia na mweupe sana na mpenda totoziDr karibu Sana Songwe. Fursa kibao ni kujipanga tu. Madini na Border mtu hukosi 5m Kwa siku, ni mwendo wa kulamba asali tu.
NB: Japo naona kama unaelekezewa njia ya kuondoka kiustaarabu.
AiseeWangemuacha arudi zake UDSM tu maana kwa calibre yake atawezana na watendaji hawa wa mazoea Halmashauri zetu huko. Dr Francis ni kichwa na hana konakona kwenye kazi!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app