Dkt Greyson: Kubet kunasababisha ugonjwa wa kisukari

Dkt Greyson: Kubet kunasababisha ugonjwa wa kisukari

Nilidhani kwamba kuna mechanism nyingine kumbe ni hii ya kukaa bila kujishughulisha daah.

Kwa mantiki ya huyu daktari hata kazi ya uhasibu pale bank inaleta kisukari kwa sababu muhasibu hajishughulishi kwenda huku na kule.

Kwa mantiki hiyo hata kulala sana kunasababisha kisukari kwa sababu mtu akilala sana anakuwa hajishughulishi.

Kwa mantiki hiyo hata kukaa na simu muda mrefu kunaweza kusababisha kisukari kwa sababu mhusika anakuwa hajishughulishi.

Nadhani ingebamba sana laiti angesema kwamba kinachosababisha kisukari ni kutokujishughulisha ambako kutafanya mwili uhifadhi sukari nyingi mwilini bila kuitumia
 
Back
Top Bottom