OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
concern yako ni ya maana sana,Heshima kwako Mkuu Dkt. Gwajima D
Vyanzo vyanzo vya uhakika vimenipa taarifa za Mwalimu wa Shule ya Istiqaama huko Nzega kutuhumiwa kuingilia watoto kimwili.
Vyanzo vimesema taarifa hizo amepewa pia Waziri Mwenye Dhamana Dkt. Gwajima, lakini jambo hili linafanywa siri na mwalimu hajachukuliwa hatua zozote.
Nimesikia kwenye media jana ulikuwa Nzega na RC Chacha, lakini sijasikia ukitoa maelekezo na mwalimu kushikiliwa na vyombo vya usalama.
Tunajua uongozi umelifumbafumba hili, lakini hatujui kama na wewe utalifumba
Asante
Huyo aliyefanya hayo ni ndugu yako au ni wewe au ni ndugu katika imani?.wacha vyombo husika vitimize wajibu wake kama sio kweli haki itatendeka kwa wote.Acha Kulazimisha Tuhuma kuwa Uhalisia
Sio kila Jambo Waziri Akurupuke tu
Kuna hatua zingine huchukuliwa Taratibu maana Nituhuma nzito
Inakuwaje utuhumiwe kulawiti watoto?Acha Kulazimisha Tuhuma kuwa Uhalisia
Sio kila Jambo Waziri Akurupuke tu
Kuna hatua zingine huchukuliwa Taratibu maana Nituhuma nzito