Mbahili
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 281
- 525
Dr. Gwajima najua wewe ni waziri mchapa kazi. Kwa maendeleo ya jamii yetu na kuzuia tamaduni za magharibi kwetu ningependa kukushauri mambo yafuatayo:
Mosi, kufuta leseni za wasanii wote wanaotoa video za nusu utupu. Watoto wetu wengi wanaharibuka kwa hili
2 .Kama kweli hakuna siasa, litoke tamko la kiserikali kuonesha Tanzania inapingana na masuala ya USHOGA, hii tutatambua kuwa hamtoi watu kapuku fukara ili agenda zenu ziendelee.
3. Kutengeneza sera za kufungia media yeyote, na adhabu kali kwa yeyote yule anaepromote bisexual or any kind of related activities associated with the LGBTQ agenda.
Ila mimi nachokiona hii yote ni movie tu.Tanzania inatakiwa iwe wazi kama uganda au Saudi la sivyo, sisi si watoto wadogo..
Naomba mumtag dr Gwajima