Dkt Gwajima tunaomba uwasaidie hawa watoto wanachomwa moto na mama yao wa kambo kama sehemu ya adhabu

Dkt Gwajima tunaomba uwasaidie hawa watoto wanachomwa moto na mama yao wa kambo kama sehemu ya adhabu

Msilazimishe watu kuishi na watoto hawajawazaa jamani,kwa usalama wa watoto waishi na mama zao
 
Duh hii nimewahi kuiona Bukoba .

Wanawake baadhi upendo huwa ni wa mashaka wakigombana na Mme anachukua kijiko na kumchoma mtoto.

ssue kama hii nimeiona Mwaka 2006 BUKOBA .
 
Huyo shetani anaejiita mama wa kambo anatakiwa akamatwe aharaka akanyee ndoo kwa unyama huo
 
Back
Top Bottom