Ndio wachomqe moto? Si aachane na huyi mwanaume tu?Msilazimishe watu kuishi na watoto hawajawazaa jamani,kwa usalama wa watoto waishi na mama zao
Ongeza nyama kwenye bandiko hili hasa kwa kuweka location ya mhusika, huyo mama wa kambo anastahili kushtakiwa kabla hajaua watoto hao kwa mateso.https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1NYgdVfz65/
Video ina ogopesha
USSR
Hii habari ni ya zamani. Mwaka jana nadhani. Nahisi pia kwamba Dkt. Gwajima D alishashughulikia.https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1NYgdVfz65/
Video ina ogopesha
USSR
Uko sahihi. Ni zamani, ilikuwa mkuranga , ilifanyiwa kazi. Vema mngewasitiri sura zao.Hii habari ni ya zamani. Mwaka jana nadhani. Nahisi pia kwamba Dkt. Gwajima D alishashughulikia.
Atakuja hapa kutupa mrejesho.
Mjumbe wa nyumba 10 ni kiongozi wa serikali?Kwa nini msiripoti hapa kwa barozi wa nyumba 10 au kuwapeleka wazazi Polisi?
Msimngoje Gwajima!