The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu mbalimbali nchini.
“Hii inaonesha kuwa wanawake wameitika… hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea, tulikuwa tunafanya maonesho ya bidhaa zilizozalishwa na wanawake wajasiriamali na kutoa huduma,” amesema Gwajima.
Gwajima ameyasema hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika kitaifa leo, Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.