Free Country
Senior Member
- Jun 9, 2024
- 116
- 83
Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.
Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.
Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi yetu kuokoa kiasi hicho Cha Fedha toka mikono ya wapigaji tusipoteze historia yetu.
Naomba Dkt Hamis Kigwangala afikiriwe kwenye Baraza la Mawaziri lijalo Kwani ni kijana Mzalendo na mchapakazi hivyo tunaomba akumbukwe.