Free Country
Senior Member
- Jun 9, 2024
- 116
- 83
Hata aftatu haifikizaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa
Naona maombi yanajibiwa soon ya mkeshaView attachment 3046611
Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili...
Kigwangalla hakuwa na mchango wowote kwenye issue ya Tegeta Escrow, sisi sote tulikuwapo na tulifuatilia.View attachment 3046611
Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hil...
Wote wapigaji tuu. Ukipata tumia, kakosa anafuta kula tenaHuyu Kigwa operation Tokomeza Ujangili aliyofanya mwaka 2013 iliwaumiza wafugaji wengi sana
Kigwangalla hakuwa na mchango wowote kwenye issue ya Tegeta Escrow, sisi sote tulikuwapo na tulifuatilia.
Isitoshe Kigwangala hupata vyeo kwa tunguri na malafara wala hasubiri kupigiwa debe.
View attachment 3046629
Na nyingine hii hapa:
View attachment 3046632
Namwona Gen Kafulila kaziniView attachment 3046611
Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.
Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.
Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi yetu kuokoa kiasi hicho Cha Fedha toka mikono ya wapigaji tusipoteze historia yetu.
Naomba Dkt Hamis Kigwangala afikiriwe kwenye Baraza la Mawaziri lijalo Kwani ni kijana Mzalendo na mchapakazi hivyo tunaomba akumbukwe.
🤣🤣Hamis apewe Wizara kwakweli kama Kuna kosa kafanya basi asameheweAlisema Kigwangala " sijawahi kuona professor muongo kama professor muhongo hapa Duniani", nilicheka mno! kwa kauli yake hiyo.